Samaki wa kukaanga
Jinsi ya kuandaa samaki wa Kukaanga Ni rahisi tu. fanya hatua zifuatazo
1.Muoshe samaki wako vizuri kwa kuondoa magamba,
2.Muweke kwenye chombo safi Kisha weka chunvi kiasi,na viungo unavyopendelea, Mf.Tangawiz Fish masala nk..
3.Weka mafuta jikon kisha washa Moto kiasi
Baada ya kukauka jinsi unavyohitaji atakuwa tayari kwa kuandaa.
Imeandaliwa na:Chef Shedrack
Imeandikwa na :Chef Shedrack
Call/Sms/Whatsapp;0765848756
Karibuni Sanaaa.
Maoni