Jinsi ya kupika samaki (Fillet fish finger)
Mahtaji
- Kitunguu saum
- Tangawizi
- Mayai
- Seasord flower
- Unga wa mkate
Njia
- Chukua samaki sehemu ya steck osha vizuri,weka kwenye chombo safi,weka kitunguu swaum kiasi Na Tangawizi kiasi,weka mafuta kidogo (Acha kwa muda Wa Dk 30)Kisha
- Chukua unga Wa ngano kiasi weka black paper( Pilipili Manga) alafu weka chunvi kiasi,Chicken masala Na Galam masala
- Chukua mayai mawili yapasue weka kwenye chombo safi
- Weka unga Wa mkate kwenye chombo safi
- ★Kumbuka samaki wako unawakata kwa urefu alafu tenganisha mifupa Na nyama ya samaki
Cchukua kipande kimoja baada ya kingine fuata hatua zifuatazo
Chovya kipande cha kwanza kwenye unga Wa ngano
Kisha chovya kwenye yai mwisho kabsa chovya kwenye unga Wa mkate .Baada ya kumaliza hatua zote hizo kwa vipande vyote vya samaki,Chukua chombo weka jikoni weka mafuta yakipata moto kaanga samaki wako hadi wawe blown baada ya hapo ondoa Tayari kwa kuandaa
Maoni