JINSI YA KUPIKA MANDAZI YA NAZI
Mahitaji
Unga wa ngano
Sukari
Mafuta
Amila
Tui la nazi
Njia
Chukua chombo safi weka unga na sukari kisha changanya vizuri kwa mikono,Weka mafuta ya moto kiasi kama robo kikombe kwa unga kg 1 na endelea kuchanganya vizuri
Weka amila na endelea kuchanganya vizizuri,kisha weka Nazi changanya kwa kutumia mikono,chukua maji ya uvuguvugu ongeza kwenye unga wako kisha anza kukanda.Baada ya kukanda lifunike donge lako kwa muda usiopungua Dk 20 ili liweze kuumka
Baada ya hatua hizi sukuma donge lako kisha kata saizi ya mandazi unayohitaji,na baada ya kukata saizi ya mandazi uanyohitaji,anza kukaanga[kuchoma]kwa kina kirefu cha mafuta]
NB;Mafuta hayatakiwi kuwa ya moto sana ili mandazi yaweze kuiva hadi ndani
baaada ya kumaliza kuakanga mandazi yote yatakuwa tayari kwa kuandaa
AHSANTENI!

Maoni